Latest Headlines
  • Mr Paul nae huyoooo!

    Mr Paul nae huyoooo!

    Mwanamuziki mahiri wa mtindo wa Zouk Mr Paul aliyeko nchini Australia atakuwa mingoni mwa wanamuziki wahamiaji wanaoishi nchini humo ambao kwa pamoja watatengeneza Albamu ambayo itapatikana sokoni mwaka huu.Mr Paul amesema kuwa Kwa sasa anaingia studio kumalizia ngwe yake na Albamu hii inatengenezwa na kampuni...

    Full Story

  • Rehmtullah in Kigali

    Rehmtullah in Kigali

    Designer Ally Rehmtullah has been invited to showcase his collection in Kigali, Rwanda on Saturday, 14th March 2009 at the Serena Hotel at 7:00 pm, for the DADMAX TOP MODEL & MUSIC NIGHT event.During this event Ally Rehmtullah will be working with three other designers,...

    Full Story

  • Ziara za Michael Jackson itakuwa ya mafanikio?!

    Ziara za Michael Jackson itakuwa ya mafanikio?!

    Ziara za mfalme wa Pop Duniani,Michael Jackson zitakuwa za mafanikio baada ya mashabiki wake kumkumbuka akiwa on stage?! Share and Enjoy:

    Full Story

  • Groove Back Nite likizoni kwa muda!

    Groove Back Nite likizoni kwa muda!

    Ulikuwa unahudhuria pale Mzalendo Pub kwaajili ya kujigruvika mambo ya enzi hizoo?????Basi Dj P Moe alinitumia ujumbe huu na nimeona niuweke ili na wewe uweze kujua kwamba Groove Back Nite imesitishwa kwa muda mpaka atakapotutangazia rasmi:” ILE RAHA YA GROOVEBACK-NITE ILIYOKUWA INALETWA KILA JUMAMOSI NA...

    Full Story

  • Mwaka wa Wateule huu!

    Mwaka wa Wateule huu!

    Ni kitambo sana tokea tusikie Wateule kwenye game….kila mmoja alikuwa anafanya music kivyake..Sasa unajua nini?mwaka huu wamesema ni wao kwakuwa kila mmoja kaachia wimbo wake kivyake na baada ya hapo wameachia project ya pamoja..Wajua inaitwaje? ‘Msela’Tuone watafanikiwa kuweka record kama walivyosema au ndio tena stori...

    Full Story

  • Eti huyu ndiye anayemdatisha Kanye West?

    Eti huyu ndiye anayemdatisha Kanye West?

    Hivi unakumbuka ile video ya Luda ya ‘What Them Girls Like’ ?Basi sura hii lazima utakuwa umeiona ndani ya video hiyo…kwa jina anaitwa Amber na video hiyo ya Luda ndiyo ilimpa umaarufu!Sasa eti naskia ndiye Official Girl wa Kanye West,hayo ni ya kweli au picha...

    Full Story

  • Bongoman kudondoka Bongo 20th

    Bongoman kudondoka Bongo 20th

    Hivi unajua sababu gani iliyompelekea Kanda Bongoman kutowasili nchini wiki iliyopita?Kwa taarifa tu nimeambiwa kwamba jamaa hakupewa hela iliyostahili ndiomana aliamua kula bati la nguvu lakini kwa habari ambazo naweza kusema ni hot news kutoka afrikabambataa ya Sophia Kessy ni kwamba Mtu mzima wa ‘Inde,Inde’...

    Full Story

  • MO Racka kutoka The Rockaz

    MO Racka kutoka The Rockaz

    ‘Kisa Mi Nashine’ ndio wimbo uliomtoa Moracka na kuweza kusikika kwenye gemu.Kama ukiwa msikilizaji mzuri wa nyimbo za bongo fleva basi hili jina halitokuwa geni kabisa.Mo Racka anabainisha kwamba mbali na kuwa mwanamuziki lakini anapenda kuweka sawa vitu vingine visivyohusiana kabisa na muziki kama kuhakikisha...

    Full Story

  • Aliyempiga Mzee Mwinyi amekiona!

    Aliyempiga Mzee Mwinyi amekiona!

    Jamaa alitoka alipotokea moja kwa moja kampa kofi la ukweli Mzee wa watu,tunayempa heshima zote,Mzee Ruksa kofi la ukweli.Lakini Mzee wa watu hana hiyana,akaona aendelee na hotuba yake huku akisema ‘Jamani babu yenu mzimaaa,tuendelee” kwa taarifa tu ni kwamba Mzee Mwinyi kamsamehe mtu huyo lakini...

    Full Story

  • Mzuka wa TI unavyopanda jukwaani

    Mzuka wa TI unavyopanda jukwaani

    Huyu ni nyota wa Hiphop huko pande za USA….Kwa habari tu ni kwamba King Of South ndiyo muda wake wa kutamba kama unavyomuona mzuka umepanda mpaka vest aliyovaa imechanika kutokana na mashabiki kumvuta huku na kuleAnatamba na wimbo ‘Dead and Gone’ aliompa shavu Timberlake.Unakumbuka kitambo...

    Full Story