Sehemu ya Kuwepo!

23 Oct
Tumekumiss sana mzee wa zeze,Hope unaendelea vizuri na maisha ya gerezani,Tunakuombea umalize kifungo chako ili uje kuturushia mawe kama kawaida.We mkali…
22 Oct

gerrald kazinja akiwa na uncle wake wakila bata ndani ya london baada ya kuchomwa sana na jua la bongo,kaka karibu ulimwenguni
22 Oct

msanii wa bongo flavour suka ambaye aliwai kutoa song linalokwenda kwa jina la mipasuo akitumia beat ya mwana fa yuko kimya sana kiasi cha mashabiki wake kuulizia vipi atarudi tena au ndio game la moto?kwa taarifa ambazo ninazo ni kuwa suka ana mawe kadhaa ambayo amefanya ila yako kapuni na kwa sasa anafanya music kama burudani kwa kuwa tu uko kwa damu,huyu ndio othman shaaban aka suka
22 Oct

msanii riyama ameonekana kuwa msanii bora wa kike kwa siku za usoni baada ya kufanya vizuri katika uigizaji wa filamu bongo kwa kuwa na mvuto na kila kitu msanii huyo malisema atazidi kukomaa adi kieleweke kwani sanaa ndio maisha yake na si kingine
22 Oct

said juma au chege mtoto wa mama said kutoka kundi la wanaume tmk linaloongozwa na amani temba au mheshmiwa temba toka kiumeni ameamua kufanya kazi na wasanii wa kundi la manyema family ambako chege alitokea kabla ya kwenda kiumeni,wameingia katika studio za mj na kufanya pini linalokwenda kwa jina la longtime linalomaanisha zamani wakati wako pamoja chege anazidi kufanya vizuri pamoja na kundi la wanaume family wakiwa hewani na wimbo wao wa umri
22 Oct

msaniii wa kike stara thomas mwana zouk maarufu nchini tanzania ameamua kurudi tena na kuamua kufanya kazi na chidy benz wa la familiah stara aliseama ujio wake uko sawa na kuwakandamiza wapinzani na wasanii wasio halisi katika game kwani mkongwe ni mkongwe na hakuna wa kubana,chidi ni mkali wa collabo mwaka 2008 2009 alina ubishi kutokana na kazi alizofanya
la familia 4rever
22 Oct

msanii haji noorah maarufu kama noorah amesema atazidi kujikita kimasomo zaidi baada ya kugundua kuwa mziki haulipi kivile kwani kazi anazofanya ni tofauti na malipo ambayo anapata so ameamua kusoma zaidi kama afanyavyo mdogo wake ibrah noorah ambaye yuko st joseph college uko mbezi dar es salaam tanzania kila la kheri noorah
21 Oct

inspector haroun aka tripple 5 aka babu aliyekuwa muasisi wa kundi la wanaume halisi amejitoa kwa kundi hilo na kuamua kuwa solo artist,amedai kuwa kisa au sababu ya kujitoa ni maslahi hayaridhishi na pia washabiki wake wanaulizia zaidi kazi zake binafsi huyu ndio inspector wa haroun
21 Oct

yule msanii wa kike kutoka tzee nakaaya sumari anaomba kura zenu watanzania ili awze kuibuka kidedea katika tuzo za kisima zifanyikazo huko nchini kenya,dada huyo yuo katika category na nyimbo bora ya mwaka kutoka Tanzania,mr politician si unaikumbuka sasa unasubiri nini piga kura tumtoe dada
21 Oct
Recent Comments