Latest Headlines
  • Yupo mzima na bukheri wa afya

    Yupo mzima na bukheri wa afya

    Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Mtabiri wa nyota ,Sheikh Yahaya Hussen aliteta na waandishi wa habari na kutoa hofu na maneno yaliyokuwa yamezagaa ya kwamba Shehe huyo ameiaga dunia.Pichani akiwa na mkewe,Ketty.source:Mzee wa Sumo Share and Enjoy:

    Full Story

  • Ni Ijumaa Kuu

    Ni Ijumaa Kuu

    Siku ya leo ndugu zangu Wakristu tupo kwenye mahuzuniko makubwa kwa mkombozi wetu Yesu Kristo anakufa kutokana kukubali kubeba msalaba wa dhambi zetu.Tunatakiwa tukae na tutubu dhambi tulizowahi zifanya na kuzitenda….bila kusahau Nyama mwiko leo jamani! Share and Enjoy:

    Full Story

  • Alichofanya TID ni sahihi?

    Alichofanya TID ni sahihi?

    Kila mtu anaongelea lake na nimeona niliweke mezani ili wadau muweze kuzungumzia jambo hili.Mwanamuziki TID alipanda jukwaani siku ya utoaji wa tuzo za Kili na baada ya hapo kuna mambo aliyafanya ambayo watu wamekuwa wanaongelea tofauti.Jambo la kwanza,TID alitoka stejini na wkenda kucheza kwenye meza...

    Full Story

  • Mpe moyo!

    Mpe moyo!

    Hiki ndicho kipaji cha binti Sia Muro,anahitaji moyop ili kuweza kufikia levo za Serena na dada yakeSia akiwa mazoezini,anaamini Tenis ndiyo mchezo bora anaoupenda na anaouweza.. Share and Enjoy:

    Full Story

  • Mjue Pipi kutoka THT

    Mjue Pipi kutoka THT

    Kila mtu anamuita Pipi na yeye pia anapendwa kuitwa hivyo na ndiyo maana leo hii kila mtu anamju7a kwa jina la Pipi…Jina lake kamili ni Doreen Ponera na amejulikana kutokana na kushirikishwa kwenye wimbo wa ‘Njia Panda’ ulioimbwa na Barnabas…Pipi ana kipaji na kwa sasa...

    Full Story

  • Karume Day,Chid,Nakaaya kukamua

    Karume Day,Chid,Nakaaya kukamua

    Wasanii hawa wanatarajiwa kufanya show kwenye siku ya kumbukumbu ya aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Amani Karume. Share and Enjoy:

    Full Story

  • Shoo ya Chingy ilivyokuwa..

    Shoo ya Chingy ilivyokuwa..

    Watu waliridhika na show ya Chingy Wanamuziki wa kwetu nao waliiwezesha showChingy aliweza kupagawisha wakazi wa Dar Share and Enjoy:

    Full Story

  • Mmh,Hoyce Temu hapa hapakuwa sipo.

    Mmh,Hoyce Temu hapa hapakuwa sipo.

    Aliitwa kwenda kugawa tuzo kwa msanii bora wa Afrika Mashariki,stori ilikuwa hivi,Hoyce alipanda jukwaani,Kumbuka kuna projrctor ambayo inataja nominees,sasa wakati projector inataja nominees wa category hiyo,Hoyce nae akakurupuka na kuaza kiuongea kwa mic na wakati alitakiwa afuate maelezo kutoka kwenye projector…Sidhani kama alikuwa hajui kwasababu...

    Full Story

  • Tuzo za Killi zilivyokuwa

    Tuzo za Killi zilivyokuwa

    Chingy alicheza ‘Ngoma Itambae’ lol,sidhani kama alikuwa anelewa kitu,Hapo akimkabidhi tuzo Chid Benz kama msanii bora wa wimbo wa HiphopWimbo bora wa sili Dogo Mfaume alichukua tuzo na wimbo wake wa ‘Kazi ya Dukani’Mwakilishi wa Matonya akipokea tuzoKeisha muimbaji bora wa kike naye akipokea tuzo...

    Full Story

  • Ni Zamu yangu-Bushoke

    Ni Zamu yangu-Bushoke

    “Watu walidai nimeshakufa kisanii,wengine sina jipya,lakini sikuweza hata kunyanyua mdomo wangu na kuwabishia kwasababu najua sasa Inawachoma”Bushoke…Mwanamuziki huyu anasema yupo juu na ataendelea kuwa juu,nyimbo zake ni nzuri na ndiyo kitu anachokifanya kinaeleweka.Bushoke anatarajia kujumuika na watu wa Bukoba hivyo anasema wakae tayari! Share and...

    Full Story