Sehemu ya Kuwepo!

4 Mar
Mzee mzima Joe Budden wrote on twıtter kuwa he would love to have a THREESOME with Halle Berry and Ashley Judd…Can we call It crazy to express In publıc? au thats awsome?…
Kibongobongo az an artist kuelezea hisia zake in public its a bit hard lakini wenzetu they dont care..FREE MİND…Tupo kwenye Dunia ya Uwazi na ukweli!
Lakini wewe unaonaje?Kuwa mkweli,kuelezea kile ulichonacho moyoni au kukaa kimya,kufa na kitu moyoni ipi works Out?!
3 Mar
Back miaka ya 2000′ nilikuwa nasoma na huyu Bidada hapa kwenye picha anayekwenda kwa jina la Millen ambapo hatukuwahi kufikiria kama atakuja kuwa Miss Tz au kushiriki mambo yoyote yanayohusiana na urembo kwakuwa maisha yake ya kawaida alionekana kuwa bussy sana na kitabu pamoja na kusali sana…sorry simaanishi wanaompenda Mungu hawashiriki kwenye mambo ya ulimwende ila hıyo nı kasumba yetu..
Happiness Magese ndıyo jina lake halisi na kwakweli alıkuwa dada mstaarabu sana…Nakumbuka alikuwa Form 6,wakati huo nipo form 2, huwezi amini alikuwa anazimiwa na shule nzima kutokana tu na jinsi alivyokuwa na upendo na kila mtu in KİBOSHO GİRLS HİGH SCHOOL…
Leo hii she is doing good in South Africa ambapo anapata deals nzuri na makampuni mbalimbali na mbali na hayo ameweza kujijengea jina lake bila ya kukutwa na scandalz zozote CHAFU….
What she suprises me most ni kwamba hajabadilika hata kidogo, she still the same Happy, hana marıngo na nzuri zaidi bado anamtumikia Mungu wake, nakumbuka aliniambia weapon yake ni kumwomba Mungu hivyo hatoacha kamwe that was only last week ambapo Nilıongea nae sana na aliweza hata kunipa ushauri kuhusu LİFE in general!
Go On Mom n here you have Uz by your side!!
3 Mar
3 Mar
2 Mar
Happy birthday kaka Othman wa www.othmanmichuzi.blogspot.com.
Angaliabongo İnakutakia maisha mema na yenye Baraka!
1 Mar
1 Mar
Usiku wa kuamkia leo wana bongo fleva nchini,Joh Makini na G Nako wamevamiwa na majambazi na kuporwa baadhi ya vitu pamoja na fedha taslimu za kitanzania ambazo hawakusema ni kiasi gani..
Akielezea tukio hilo,Joh alisema tukio hilo lilitokea kama movie kiasi ambacho hata wao wenyewe wameshindwa kuelewa kılıchotokea ila baadaye ndipo walıjıngudua kuwa walıvamıwa na wako salama.
ANGALİABONGO inawapa POLE…
1 Mar
Two Juelz Santana fans have reportedly been named in a criminal court complaint for using a fake credit card in an attempt to pay for their $28,000 bill at the rapper’s New York birthday celebration this week.
Recent Comments