Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Angalia Bongo is Sponsored by

 

The Notorious B.I.G. leo atimiza miaka 13 tokea kifo chake..

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading ... Loading ...

King himself before Tİ, The Naughty B.İ.G leo anatimiza miaka 13 tokea kifo chake…It was 9.march 1997 alivyokata roho saa 1.15am baada ya kupigwa risasi saa 12.45..

Kiongozi wa Bad Boy,Puff Daddy ameandaa party kumuenzi B.I.G huko New York…

Muuaji wa Rapa huyu mpaka leo hajajulikana..Alizaliwa May 21.1972 akiwa na miaka 24 tu..Christopher George Latore Wallace ndio jina lake kamili..

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Heard of him already?!Deebo…Pata kumjua kiundani.

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    For the first time it was on FRİDAY movie by İce Cube, he played a role of  a gansta nigga ambaye anakuja kupigwa vibaya na İce Cube ambapo kila mtu anakua haamini…Remember ‘RİDİN’ by Chamillionare? basi ndani ya ile video hii sura itakujia vilevile..

    Tommy Lister ndio jina lake halisi na he was born in June 24, 1958…Deebo ndio anajulikana zaidi kwa jina hilo..

    Kabla ya kuwa actor, alikuwa mwana mieleka lakini akaamua kubadili fani na kuanza kucheza filamu..

    Ana jumla ya filamu 140 alizocheza na ndani yake role nyingi kacheza kama m’babe…Jicho lake la kulia halioni kabisa, mmh mie nilidhani huwa anavaaga contact lenzzz kumbe mwenzetu kilema..

    He got his family and inshort hes happy na familia yake kama mwenyewe anavyodai kutoka kwenye we moja….

    Guess what? Deebo ameokoka na anampenda YESU, kwa sasa anafundisha watoto ndani ya kanisa la  Calvary Christian Center huko Sacramento, California ikiwa moja kati ya shughuli zake za kawaida akiachana na uigizaji!

    Thats Deebo…Maisha yake ya kawaida ni mtu mpole sana na anayempenda Mungu…mmh mimi nilikuwa namuogopa jamani kabla ya kujua na kusoma kuhusu maisha yake!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Love is On Air jamani,umekiona kitu cha…..

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Love is on air….shauri ako! mapenzi popote na kwa yoyote!Upooooooo?!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Hongera Maunda..Baby Boy!

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    I just heard from a friend that Maunda Zorro, female vocalist from THT got a baby Boy, Nimejaribu kumchek lakini sikumpata but well here is salamu zangu..Hongera kwa kupata mtoto!!!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Kikongwe nchini Marekani Afariki Dunia.

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Mary Josephine Ray, kikongwe kuliko wote nchini Marekani afariki dunia akiwa na  114 years, 294 days.

    Kikongwe hiki kilikuwa kinajiandaa kurusha party ya nguvu ya bday yake ya kutimiza miaka 115 lakini bahati mbaya hakuweza kufikisha umri huo baada ya kufia huko kwake Westmoreland age 114 years, 301 days.

    Ray was born May 17, 1895, in Bloomfield, Prince Edward Island, Canada na baadaye akiwa na umri wa miaka mitatu walihama yeye na familia yake to USA.

    Ray’s husband, Walter, died in 1967. Survivors include two sons, eight grandchildren, 13 great-grandchildren and five great-great grandchildren.

    Mungu ailaze pema peponi roho ya Bibi Mary! AMEN!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Wanawake Oyeee!

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Siku yetu jamani leo…wanawake wote Oyeee!! let us try to be independent jamani! For those who do believe tunaweza kusimama wenyewe Cheers na kwa wale wote ambao hawajiamini kusimama na kufanya kitu kama wao pse wewe  ni MWANAMKE na unaweza kufanya lolote kama ukiamua tu.popote penye nia panawezekana….

    This woman is my inspiration,Naamini siku moja naweza kureach her goals….İn any way or another!

    WELL special thanks kwa mama yangu,Love you the world mama, You such a wonderfull woman that mean a lot to me..Promise to love you    forever…cant pay you nothing but Only God knows….na wamama wote duniani…nawapenda kwa kuwalea vyema watoto wenu!

    NI SIKU YA WANAWAKE LEO!!!!!

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Mastaa wa Kike Bongo na Make-ups….Wengi wao Utata!

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Kibongobongo wasanii wetu ambao ndio macelebrity wetu kwenye swala zima la MAKE UP ni ziro….Hawajaweza kugundua kuwa na mtu ambaye anamuweka sawa akitoka au akiwa kwenye show ni muhimu sana…..Unakuta msanii anapanda jukwaani yupo rough usoni, hili nazungumzia mastaa wetu wa kike hasa…

    Unapata show unalipwa basi kuwa na make up za ukweli ambazo ukipaka mwenyewe bila kuwa na hata huyo mrembaji….İnstead mnachukulia poa...

    Mi nafikiri ukishaitwa staa unatakiwa uwe tofauti na watu wengine kama MİMİ ıki uweze kutofautishwa kati ya staa na mimi au nafikiri sivyo??

    Mie hasa leo kwa mastaa wa kike jamani,,huu mfano wa kweli,nilimuona staa mmoja wa kike(Jina kapuni) akiwa amerudia viatu vyake mara tatu kwenye shoo zake tatu tofauti,yani mpaka nilishangaa na kushangaa kwangu ni kwamba namuona akijiachia sehemu tofauti tofauti, anajinadi ana hela lakini kwanini asiweze kubadilisha viatu na kuonekana maridadi???CRAZY!

     

  • 5 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Happy Bday Sis!

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Hey sis…Happy bday n live long lıfe……Mungu akujalie mema na uishi maisha ya baraka na neema..Amen.

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Ewe mwanamke,Umefanya nini?

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Here İt comes, siku yako duniani wewe mwanamke 8.03 kila mwaka.Je katika siku hii maalumu kwako wewe mwanamke Utafanya nini?

    Umeshawahi kufikiria umuhimu wako hapo ulipo na thamani yako kwaujumla?

    Well kitaifa siku hii ya Wanawake duniani itaadhimishwa mkoani Tabora!

    Thanks kwa MAMA yangu kwa kunilea vyema mpaka hapa nilipofika na kuweza kujitambua umuhimu wangu mimi kama mwanamke na kwa mama wote duniani walioweza kuwalea watoto wao vyema…Love you mama for everything!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • What a Happy Day…meeting U Friend!

    1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
    Loading ... Loading ...

    Man..kwanza İ got shocked when İ realize this boy kwenye pıcture ni home boy,you know what İ mean, tumekutana UGENİNİ na İt was way back since alivyotoka home….Kilichofuata ni BİG HUG!

    Sikuweza ficha furaha yangu kwakweli…we had  a talk and it was all about kukumbuka mambo ya Home enzi hizo….

    He go by the name Kuti….and he doİng great İn ATL….May God protects you and everything that your doıng!!

    Thanks Boy!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea