Sehemu ya Kuwepo!

11 Mar
Eti Crazy??????hapana sio crazy ni mapenzi ya kweli kwa Lil Wayne…Mwanadada huyu akiwa ana tatuu ya sura ya Lil Wayne tumboni kwake…na alama nyingine za kumuhusudu rapa huyo ambapo kwa sasa anatumikia kifungo chake cha mwaka mmoja jela.
Unaona!..thats Weezy on her…Mmmh hivi kweli Kibongobongo mtu anaweza kujichora sura ya msanii flani kisa unamzimia??! Personally İ can na definately nitamchora Dully Sykes…..believe me this na Usishangae jama!,hes just my favourate ARTİST..I mean İt,he is my number One male ARTİST and he knows that na sio zaidi ya hapo..lol!
11 Mar
TO all my byutiful girls out there,Well a friend of mine, Jeniffer Mtengule sent me this thing..a note ya kumjua mwanaume anayekupenda ni yupi, kama he is using you ili uweze kuamua mbivu na mbichi na nimeona si vibaya nikaweka ili hata na wewe ujumbe ukufikie…
Na sio kwaajili ya wee bi shosti..hata wewe MWANAUME unaruhusiwa kuisoma hii note ili uache kufake penzi b’cause so far kama mpenzi wako anaingia kwenye huu uwanja wa angaliabongo basi baada ya kusoma tu hapa atakuwa kashakustukia kuwa MSHKAJI unamtumia..so WATCH OUT BOYS..
11 Mar
Kwa uchunguzi wa ANGALİABONGO niligundua msanii huyu wa kizazi kipya nchini,Handsome,Dully Sykes anapenda sana rangi ya nywele ya goldi.goldi,tuitavyo wa uswazi au kublich nywele au sijui ndo BLONDY?!wink…kama unavyomuona katika picha hii,fulu mmechisho wa shirt aliyovaa na rangi ya nywele zake hapo kati!
Picha ya tukio lingine tofauti Dully akiwa Hair style tofauti,hapa rangi aipendayo haijakosekana kama kawaida na weusi ukiwa umeshamiri….Good!
This one here, The young Handsome, hii kama 3 yrs past alikuwa na locks ambazo kama kawaida rangi ya nywele aliyoichagua haimchukizi.Hapa ndo kabisa kaamua kuweka kichwa kizima, mimi nimezimia hii zaidi!
11 Mar
Awww,this news…awwsome and seriously imetokea huko Florida,USA…Mwanamama Megan Mariah Barnes,37 alıpanga kukutana na rafiki yake wa kiume yaani Boyfriend kwaajili ya privacy meeting( ushaelewa) yao lakini Bi dada akiwa njiani kuelekea huko kunako FARAGHA akaona si vibaya kufanya usafi yaani kujinyoa sehemu za siri…
Usafi huo alikuwa anaufanya akiwa kwenye gari yake huku anaendesha…mmmh basi akasababisha ajali baada ya kuconcetrate kwenye suala zima la kushave na kusahau kama alikuwa anaendesha gari!Hapo chachaaa!!!!
11 Mar
10 Mar
What a funny story?skiliza hii..these two girls wote ni rafiki zangu,wote wana majina sawa na wote wanafanana na mimi ndiyo niliyojua kuwa they almost look alike and they got same names..
Samira on the upleft alikuwa miss Kigamboni 2009/2010 na huko ndipo nilıpopata kumjua and THE OTHER Samira on right ni actress, huyu nilimjua kwenye moja ya event akiwa bussy with her friends, sikujua kama hanijui kwani nilijua ni Samira ninaemjua mimi so nikaenda na kumshika, Samira aligeuka na kushangaa nimemshika halaf hanijui….
İ was like vp Samira? na yeye bila kusita akasema poa lakini akasema sorry nikumbushe nani wewe? Mmmh nikamwmabia Samira umenisahau?! Kuja kurecognize kumbe nilikuwa nimemfananisha…..So İ apologise and from there tukajuana na akaniambia anaitwa Samira…İ shocked and promise her kumkutanisha na Samirah mwenzake!!
İla nikasema hawa SAMİRAZ lazima niwakutanishe haiwezi ikawa! !Well they are now friends ever since nilivyopass kuwakutanisha…and what more suprisez wanashare same Zodiac sıgn…İsnt funny?!
10 Mar
10 Mar
Mmoja bado yupo yupo,Mwingine Ndoa yake haina Doa!!!swali kwako…na wewe je?! mie bado nipo nipo sana tuu!!haha!!
10 Mar
Aaron (Dj Spın Doctor) na Arnold (presenter Clouds Fm) in saresare…lol, sijui walipanga watoke kihivi….Dozen, B12, Twangala…B what Ever in Light Purple..feeling İt?……..Some red in him…mmmh…what do you think?……AND here he comes İn blue blue…..
NANI KATOKA BOMBA ZAIDI?!!
9 Mar
The Memphis Grizzlies recalled center Hasheem Thabeet from the Dakota Wizards, the team’s NBA Development League’s affiliate, Grizzlies General Manager and Vice President of Basketball Operations Chris Wallace announced today…
Kwa habari zaidi;http://www.nba.com
Recent Comments