Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for the ‘Angalia Bongo’ Category

HandCuff….Inatumikaje On Bed?

Hivi unajua kuwa pingu(Handcuff) zina maana yake katika mapenzi?Unatakiwa uwe mbunifu ili mpenzi wako ashindwe kupeleka jicho kwa mtu mwingine….

Tip from a friend(hakutaka jina liandikwe) anadai yeye binafsi aliwahi kufundwa na kuambiwa kuwa anatakiwa alinde penzi kwa kumjali mumewe,kumpenda na vilevile kuonesha mautundu yote on bed….

Well akaniambia aliwahi kutumia pingu kwa husband wake na huwezi amini mume alichanganyikiwa mbaya kutokana na kushindwa kufurukuta on bed zaidi ya kumwachia ama aonehe what she got by kutumia pingu…Nilishangaa kiukweli..how did he use handcuff to make her man go crazy on bed??!! Your task..Take that.

Simaanishi kutumia pingu peke yake ndio unaweza kumnasa mpenzi wako asiende kwa mwingine…Ila tumia ubunifu wako ili kuweza kutunza penzi lako…..Got me?!same style, same MAUTUNDU yanachosha bana……Jaribu kuwa mbunifu ili kulitunza lako penzi kwa umpendae na kwa unaemjali….

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Kama kazi ndiyo hii…

    Kama jeshi ndiyo hivi……Mmmh naghairi kwakweli.

    Wajeshi to be jamani wakiwa mazoezini huko Dodoma,Kurutaz..chokoza uone!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • At first nilipoiona hii picha nikasema ni nini tena jamani??Kuja kusoma what was written ni kwamba mdaa anauza Juice,boob moja USD 10……

    Mteja ukimaliza linawekwa titi lingine…mwisho wa siku dada kashamake mkwanja wake….Jamani ukiwa na biashara ni vizuri ukabuni kitu kama huyu mdada ili kuvutia wateja…..au sio?!

    Thanks 2 my girl Evelyne for the story and picture…

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Ndio kwanza kaingia kwenye film İndustry na tayari amesha make İt to the top….Gabourey Sidebe a.k.a Clarice starrin in ‘PRECİOUS’ ambayo imeweza kujipatia umaarufu sana na kunyakua tuzo kadhaa mwaka huu ikiwemo Oscar…

    Gabo amezaliwa 83′ huko Brooklyn ambapo mama yake ni mzaliwa wa USA na baba yake kutoka Ghana, She is from familia ya kawaida sana..mama anaimba kwaya na baba ni taxi driver…..

    Kuhusu suala zima la RELATİONSHİP..Gabo hajaweka wazi kuhusu hilo kama she is dating some1 na sehemu nyingi za kujiachia anaonekana mwenyewe….Does this mean she is Single? and nobody is there to hook her up?WELLL tutajua tuu…..

    Kuhusu umbile lake,star huyu wa PRECİOUS anakiri kujivunia na kudai kuwa hatamani hata kutumia madawa ili aweze kupungua kwa vile hivyo ndivyo Mungu alivyomuumba hivyo hana budi kujikubali…Anaproud kupewa mwili aliokuwa nao..

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Alifanikiwa kutengeneza jina lake miaka ya nyuma kutokana na nyimbo mbalimbali alizoziachia na kutokewa kupendwa kama ‘Nampenda’ na Sitobadilika’…huyo ni Mike Tee ambaye maka huu ametangaza his COME BACK na tayari kashaachia ngoma inayokwenda kwa jina la ‘I LOVE YOU!…

    Swali ni Je hiyo İ LOVE YOU iaweza kurudisha jina lake kama zamani?

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Speaking of my favourates Bongo flava singers n rapers, İ always respect Dully, Makamua and Nurah bcause they both got that taste…feeeling me? Here he goes Nurah Haji..aka Baba Styles ambae anakaribia kumalizia shule yake baada ya miezi mitatu from sasa hivi halaf ndio aachie yale mambo yetu..

    Guess what?ameongea na mimi anasema anakuja kwa kivingine kabisa na this time will be more than ‘Ice Cream’..meiynnnnn…Cant wait,you just got my back

    He promised ANGALİABONGO kuwa watu wa kwanza kupata iyo ngoma yake ambayo hajacomfirm itaitwaje….Tumskilize yeye!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Hivi unajisikiaje unaenda kwenye sherehe halafu umefika wakati wa msosi, upo kwenye foleni(queque) ya kwenda kuchkua msosi mara unaambiwa CHAKULA KİMEİSHA!!!!!!!How do u feel?

    Sasa angalia picha hiyo inajielezea BEHİND the scene….wahudumu wamejificha chini ya meza wakipata menu İnstead of kuwasevia watu misosi, sina cha kuelezea zaidi! 

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • King Kikii, Way, Way Back…

    One of my favourates Old Timer’s singer, King  Kikii.Kiukweli miaka ambayo King Kikii alikuwa anatamba nilikuwa mdogo so sikuweza kugundua nini alichokuwa anaimba na wala historia yake siijui…ila nazimia sana nyimbo zake jamani!

    Nachokumbuka wimbo wake mmoja ambao mpaka kesho haunitoki akilini…‘KİTOTO NAANZA TAMBAA’ pamoja na ule ‘KİTAMBAA CHEUPE‘…Ni nyimbo ambazo nilikuwa nazisikia  sana hapo zamani kwasababu mama yangu alikuwa anapenda kusikiliza nyimbo za Kikii..

    Well kama kuna mdau yoyote anayeweza kutudondoshea History ya ufpi ya Kikii ingekuwa poa zaidi na sitasita kuiweka hapa..Thanks! 

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Happy Mama’s Day!

    İts your day MAMA..Be blessed and all the MAMAZ out there! lv u!

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • I think here İt comes a time ambapo ushauri wako ndio unahitajika zaidi ili kuweza kuboresha ANGALİABONGO…..

    Well nachohitaji kutoka kwako ni kuniambia unataka niweke kitu gani ili iweze kuboresha site yetu..

    Simple nitumie email kupitia info@angaliabongo.co.tz na angaliabongo@yahoo.com then nitaweza kufanyia kazi wazo lako…

    Thanks!

    Angaliabongo Team (Sarah and Joe)

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea