Sehemu ya Kuwepo!
Habari!!
Siku zote ukitaka kufanya kitu nenda kwa mtu ambaye unaamini anaweza kukushauri na kukufahamisha vyema kutokana na move unayotaka kufanya..
Nilianza na www.angaliabongo.blogspot.com kama mchezo na sikuweza kufikiria siku moja kama nitaweza kufika kwenye hatua nyingine yaani www.angaliabongo.co.tz…
Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nitashindwa kuwashukuru wale wote waliowezesha hatua hii hivyo with that Nakiri kwa kusema ASANTE kwa wale wote walioweza kuisababisha ANGALİABONGO ikawepo, JAMİİ FORUM TEAM na Joel Ndonde…
OK…kwa wale wanaohoji nani anayerun www.angaliabongo.co.tz ?Na yote hayo,hili ndiyo jibu lenu;
Naitwa SARAH PETER, was born in the middle of 80’s..By proffesion a journalist and always straight with my desicion, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me….Not married and not looking for a husband!!!
Sarah!!
Recent Comments