Chimbo lingine la Siasa…

Kiukweli when it comes to politics sina ninachojua manake nahisi akili yangu zaidi imeegemea upande wa BURUDANİ ingawa napenda sana kujua yanayotokea na kujiri kwenye siasa ya Tanzania na mara nyingi naingia Michuzi kwakuwa napata habari hizo fasta…Usijiulize kwanini siweki habari hizo kwakuwa nimeshajielezea sina nachojua kuhusu siasa so siwezi kuweka kitu ambacho sijui..

Leo kwenye pitapitani zangu nikakumbana na uwanja mwingine,sidhani kama ni mpya bali mimi ndio nimeungundua uwanja huo unaoandika mambo halisi kuhusu siasa ya Tanzania na nimependezwa sana na blog hii jamani…..

Hebu na wewe jaribu kupitia labda unaweza ukavutiwa kwasababu humo siasa imechimbuliwa kwa kwenda mbele mpaka unaelewa viongozi wanavoiendesha serikali yako; www.chahali.blogspot.com

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Wako wapi hawa?
  2. Wanahabari wote,Muhimu.
  3. Napenda Technology zaidi kwenye muziki wangu-Cpwaa.
  4. Im back,Its a new Year and New Season!
  5. Naheshimu Haki Miliki..

About the Author