About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for March 13th, 2010
-
Feel Free Tafadhali…..Maoni yako Muhimu sana Kwetu!
Posted on March 13, 2010 | No CommentsI think here İt comes a time ambapo ushauri wako ndio unahitajika zaidi ili kuweza kuboresha ANGALİABONGO….. Well nachohitaji kutoka kwako ni kuniambia unataka niweke kitu gani ili iweze kuboresha site yetu.. Simple nitumie email kupitia info@angaliabongo.co.tz na angaliabongo@yahoo.com then nitaweza kufanyia kazi wazo lako…... -
Vitambi Kwa Wanawake mmh..Haihuu!
Posted on March 13, 2010 | 3 CommentsSio jambo la kuchekesha but daah, ukikutana na mdada kapendeza halaf ana kitambi mhh….inachekeee..!simalizii! Vitambi kwa wakinadada kwakweli vinasababisha shape za miili yetu kuharibika jamani… what the solution? Eti wanawake wa Kibongo tunapenda sana pombe, Kitimoto na mbuzi ambavo ndo vinaleta VİTAMBİ, ya kweli hayo?... -
What’s Your Top 3 “MrMisifa” Dully Sykes Songs?
Posted on March 13, 2010 | No CommentsWhen Dully Sykes hit the music scene, He was exactly what the game needed–a strong Man, who could not only sing, but rap, produce, and write hit records. -
Chimbo lingine la Siasa…
Posted on March 13, 2010 | 1 CommentKiukweli when it comes to politics sina ninachojua manake nahisi akili yangu zaidi imeegemea upande wa BURUDANİ ingawa napenda sana kujua yanayotokea na kujiri kwenye siasa ya Tanzania na mara nyingi naingia Michuzi kwakuwa napata habari hizo fasta…Usijiulize kwanini siweki habari hizo kwakuwa nimeshajielezea sina... -
Eti Mkono Una Athari gani?
Posted on March 13, 2010 | 2 CommentsSpecial to my brothers out there….Yani huwa najiuliza sana kuhusu swala hili na nimeona heri nilianike ili wakina kaka muweze kunisaidia ili mimi na watu wengine ambao hawajui maana yake tupate Kufahamu.. Kampani yangu kubwa ni wanaume na huwa nakaa nao sana kiasi ambacho nimepata...
