Awww,this news…awwsome and seriously imetokea huko Florida,USA…Mwanamama Megan Mariah Barnes,37 alıpanga kukutana na rafiki yake wa kiume yaani Boyfriend kwaajili ya privacy meeting( ushaelewa) yao lakini Bi dada akiwa njiani kuelekea huko kunako FARAGHA akaona si vibaya kufanya usafi yaani kujinyoa sehemu za siri…
Usafi huo alikuwa anaufanya akiwa kwenye gari yake huku anaendesha…mmmh basi akasababisha ajali baada ya kuconcetrate kwenye suala zima la kushave na kusahau kama alikuwa anaendesha gari!Hapo chachaaa!!!!
Related posts:

Hivi alikosa concentration ama ilihamia katika hisia zisizo za kuendesha?
Mie nawaza kwa sauti tuuu