Mmoja bado yupo yupo,Mwingine Ndoa yake haina Doa!!!swali kwako…na wewe je?! mie bado nipo nipo sana tuu!!haha!!
Related posts:
Mmoja bado yupo yupo,Mwingine Ndoa yake haina Doa!!!swali kwako…na wewe je?! mie bado nipo nipo sana tuu!!haha!!
Related posts:
Upo upo wewe mimi ndoa yangu haina doa dada
Lakini Mwana FA yupo yupo mpaka liniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!???!!!! nobody is getting any younger you know lol….
Nakumbuka zamani nilipokuwa na zamu ya kupika ningeonja mpaka wakati wa kula nisiwe na njaa.
Labda MwanaFA anaonja tuu na kula hali.
Hahahahaaaaaaaaaa. Yupoyupo tuuuu.
Mie kwangu HAINA DOA na wala sina mpango wa kuipeleka inapoweza kumwagikiwa utonvu. No doa period