Kibongobongo wasanii wetu ambao ndio macelebrity wetu kwenye swala zima la MAKE UP ni ziro….Hawajaweza kugundua kuwa na mtu ambaye anamuweka sawa akitoka au akiwa kwenye show ni muhimu sana…..Unakuta msanii anapanda jukwaani yupo rough usoni, hili nazungumzia mastaa wetu wa kike hasa…
Unapata show unalipwa basi kuwa na make up za ukweli ambazo ukipaka mwenyewe bila kuwa na hata huyo mrembaji….İnstead mnachukulia poa...
Mi nafikiri ukishaitwa staa unatakiwa uwe tofauti na watu wengine kama MİMİ ıki uweze kutofautishwa kati ya staa na mimi au nafikiri sivyo??
Mie hasa leo kwa mastaa wa kike jamani,,huu mfano wa kweli,nilimuona staa mmoja wa kike(Jina kapuni) akiwa amerudia viatu vyake mara tatu kwenye shoo zake tatu tofauti,yani mpaka nilishangaa na kushangaa kwangu ni kwamba namuona akijiachia sehemu tofauti tofauti, anajinadi ana hela lakini kwanini asiweze kubadilisha viatu na kuonekana maridadi???CRAZY!
Related posts:


mh..
haya naona umeamua
mwenzangu!!!!!!!tryn hard siku hızı!
si Lazima kila mtu anafanya kitu roho inapenda.
kuwa staa si lazima uwe tofauti hata kwa vitu ambavyo utakuwa huko confo?
Nadhani inabidi wawe nadhifu lakin si lazima makeupssss
disminder.
no disminder ni lazima make up .otherwise wataendeloea kuonekana na misura mizito
mh! hapana dada walio wengi umarufu huu wameupata ukubwani . na umaridadi huanzia utotoni. hata wa kiume wengi wao ni wachafu mf Dully sijawahi kumwona akiwa smart. labda hajui kupangilia au hajari.
lkn ukumbuke kwamba mwonekano wa mtu wa nje sana mavazi anayovyaa ndiyo. yanakuonesha mtu huyo alivyo ni rahisi hata kuhisi maisha yake yakoje na analala na kuamka sehemu gani?
ukiona mtu anavaa nguo hizo hizo kama ulivyosema au nguo rangi rangi haziendani basi jua hata mambo yake hayana mpangilio. wala usipange naye dill utachoka.