Archive for March 8th, 2010

  • Love is On Air jamani,umekiona kitu cha…..

    Love is On Air jamani,umekiona kitu cha…..

    Love is on air….shauri ako! mapenzi popote na kwa yoyote!Upooooooo?!

    Full Story

  • Hongera Maunda..Baby Boy!

    Hongera Maunda..Baby Boy!

    I just heard from a friend that Maunda Zorro, female vocalist from THT got a baby Boy, Nimejaribu kumchek lakini sikumpata but well here is salamu zangu..Hongera kwa kupata mtoto!!!

    Full Story

  • Kikongwe nchini Marekani Afariki Dunia.

    Kikongwe nchini Marekani Afariki Dunia.

    Mary Josephine Ray, kikongwe kuliko wote nchini Marekani afariki dunia akiwa na  114 years, 294 days. Kikongwe hiki kilikuwa kinajiandaa kurusha party ya nguvu ya bday yake ya kutimiza miaka 115 lakini bahati mbaya hakuweza kufikisha umri huo baada ya kufia huko kwake Westmoreland age...

    Full Story

  • Wanawake Oyeee!

    Wanawake Oyeee!

    Siku yetu jamani leo…wanawake wote Oyeee!! let us try to be independent jamani! For those who do believe tunaweza kusimama wenyewe Cheers na kwa wale wote ambao hawajiamini kusimama na kufanya kitu kama wao pse wewe  ni MWANAMKE na unaweza kufanya lolote kama ukiamua tu.popote...

    Full Story

  • Mastaa wa Kike Bongo na Make-ups….Wengi wao Utata!

    Mastaa wa Kike Bongo na Make-ups….Wengi wao Utata!

    Kibongobongo wasanii wetu ambao ndio macelebrity wetu kwenye swala zima la MAKE UP ni ziro….Hawajaweza kugundua kuwa na mtu ambaye anamuweka sawa akitoka au akiwa kwenye show ni muhimu sana…..Unakuta msanii anapanda jukwaani yupo rough usoni, hili nazungumzia mastaa wetu wa kike hasa… Unapata show...

    Full Story