Related posts:
New Hip Hop Artist İn Bongo…Big Boss!
– March 3, 2010Posted in: Angalia Bongo
Ameachia ‘Piga Bao’ ambayo imeonekana kufanya vizuri kwenye baadhi ya redio steshens na sasa amekuja na ’Uwezo’ zote zımetengenezwa na producer Maneke..
Kwa sasa yupo karibu na AM recordz under Maneke kutoka TZ na S&S records under Stiggo from New York ambao ndio watakaotengeneza albam yake inayokuja itakayobeba jina la ‘UWEZO’.

