soulja-boy2

Kulingana na Atlanta’s WSBTV a “Georgia hakimu” ame mhukumu teen-rapper Soulja Boy kwa miezi 12 na $ 1,000 fine kufuatia tukio litokea Oktoba  mwaka jana.

Soulja Boy na Watu wengine waliwakimbia polisi wakati ilipogundulika kwamba walikuwa wamekusanyika katika Eneo la nyumbani McDonough Georgia ,baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wakazi katika eneo hilo.

Related Posts

  1. Dunia imeharibika!
  2. Sikio la Kufa….
  3. Scheta The Boy aka Soulja Boy wa Bongo…
  4. Wanasiasa!