SAMAKI

Wanakwenda kwa jina la Offside Trick na kwa sasa naweza kusema kundi hili limeweza kupata umaarufu sana kutokana na wimbo wao wa ‘Samaki’ na ‘Bata’.

Wengi wanaimba je maana yake jamani tunaelewa au tunaimba tu?

Related Posts

  1. wazee wa bata majuuu
  2. Kila mtu anachunga mali yake!
  3. Cpwaa na Problem yake.
  4. Neno la kitaa Ijumaa hii na maana yake..
  5. Unavaa tu,Unajua maana yake au fashion?