
Janet Jackson ambaye ni dada wa marehemu MJ,aweka wazi mikakati yake ya mwaka 2010 na kusema kuwa anataka kuwa karibu na Mungu pamoja na kusomea lugha.
Akitoa maelezo yake kwenye gazeti la Gotham la nchini Marekani,Janet adai anataka kuwa karibu na Mungu tofauti na alivyokuwa mwanzo pamoja na kutaka kusomea lugha ambayo mpaka sasa hajajua ni lugha gani kati ya Spanish,French au Italian.
Hata hivyo albam inakuja kutoka kwake ambayo anadai itakuwa ya kihalisia zaidi…
Thats from Janet.
Related posts:
