Hellow guys/fans wa angaliabongo.co.tz…..Nimekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana kiasi cha watu kujiuliza nipo wapi na kwanini siweki kitu kwenye gazeti tandu letu hili….

Well majukumu tu fulani yalikuwa yananiweka bussy lakini Nimerudi rasmi kuendeleza kile ambacho wewe umekuwa unahitaji kujua kutoka kwangu….

Ni mwaka mpya hivyo na mambo lazima yatakuwa mapya…Kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu tumeweza kumaliza mwaka hivyo naamini atatufanyia yale mema ambyo tutahitaji kutoka kwake…

Special thanks kwa wadau wote wa angaliabongo,Mzee wa Changamoto popote ulipo kwa kuweza kunipa the best Ideas kuhusu angaliabongo,www.bongocelebrity, www.sautizabongo.blogspot.com, shukrani za dhati, The one n only hubby,you know who u r,umekuwa mstari wa mbele kunipa ushauri n all that..Rafiki wote kwa ujumla including Best from Holland, Rama wa UK, wifi Zulfa,got lot of them so hata na wewe ni mmojawapo bila kuisahau family yangu..

THANKS AND HERE WE GO AGAIN!

Always

Sarah!

Una lolote nitumie kupitia

info@angaliabongo.co.tz

Related Posts

  1. Brooklyn Queen come Again!
  2. We Break It Here First!
  3. GROOVEBACK YATUA ZHONG HUA GARDEN….
  4. Q-Chief awatolea uvivu wabaya wake
  5. Ewe mwanamke,Umefanya nini?