Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for January, 2010

Samaki,Bata unajua maana yake?

SAMAKI

Wanakwenda kwa jina la Offside Trick na kwa sasa naweza kusema kundi hili limeweza kupata umaarufu sana kutokana na wimbo wao wa ‘Samaki’ na ‘Bata’.

Wengi wanaimba je maana yake jamani tunaelewa au tunaimba tu?

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Inauzwa ndani?

    marijuana-restaurant-a7c-e1263827012172

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • jj_1-e1263821866714

    Janet Jackson ambaye ni dada wa marehemu MJ,aweka wazi mikakati yake ya mwaka 2010 na kusema kuwa anataka kuwa karibu na Mungu pamoja na kusomea lugha.

    Akitoa maelezo yake kwenye gazeti la Gotham la nchini Marekani,Janet adai anataka kuwa karibu na Mungu tofauti na alivyokuwa mwanzo pamoja na kutaka kusomea lugha ambayo mpaka sasa hajajua ni lugha gani kati ya Spanish,French au Italian.

    Hata hivyo albam inakuja kutoka kwake ambayo anadai itakuwa ya kihalisia zaidi…

    Thats from Janet.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Hiki ni choo cha walimu wa shule ya Msingi Sinza iliyopo jijini Dar es salaam..Toa maoni yako kutokana na picha ya choo hiki...

    Hiki ni choo cha walimu wa shule ya Msingi Sinza iliyopo jijini Dar es salaam..Toa maoni yako kutokana na picha ya choo hiki...

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Nimegeukia upande huu….

    Ni mmoja kati ya wanaharakati wa Bongo fleva nchini waliopiga kimya kwa uda mrefu bila kujua wako wapi na wanafanya nini..

    Hapa namzungumzia Adili Chapakazi niliyebahatika kukutana nae na aliniambia kuwa hayupo kimya kama watu wanavyofikiria kwani kwa sasa amejichimbia pande za Kigamboni kwa ajili ya matayarisho ya filamu mpya aliyoiandaa chini ya lebo yake ya Chapakazi films.

    “Sipo kimya kabisa kama watu wanavyofikiria kwani nimegeukia upande mwingine wa sanaa kwakuwa sasa nipo zaidi kwenye upande wa filamu huku hiphop ikiwa bado kwenye damu”Adili.

    Filamu hiyo inayoandaliwa na Chapakazi Filmz itabeba jina la Loleza na washiriki mbalimbali kama Mansuli na Buff G watakuwa ndani ya Loleza…Muda ukifika Adili atatueleza wapi tunaweza kuipata Loleza…21241two

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • ‘Veto’ mtaani…

    Baada ya uzinduzi kufanyika ndani ya ukumbi wa Diamond,sasa albam ipo mtaani na Sugu ameamua kuwapa deal Wamachinga ili waweze kusambaza albam hiyo mtaani….Kama wewe ni mjanja na unahitaji kupata copy ya The hiphop legendary basi piga simu +255 716 62 73 44 .. ili uweze kupata copy yako mkononi!14240_186481062547_741272547_3160030_5580197_n

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Hellow guys/fans wa angaliabongo.co.tz…..Nimekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana kiasi cha watu kujiuliza nipo wapi na kwanini siweki kitu kwenye gazeti tandu letu hili….

    Well majukumu tu fulani yalikuwa yananiweka bussy lakini Nimerudi rasmi kuendeleza kile ambacho wewe umekuwa unahitaji kujua kutoka kwangu….

    Ni mwaka mpya hivyo na mambo lazima yatakuwa mapya…Kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu tumeweza kumaliza mwaka hivyo naamini atatufanyia yale mema ambyo tutahitaji kutoka kwake…

    Special thanks kwa wadau wote wa angaliabongo,Mzee wa Changamoto popote ulipo kwa kuweza kunipa the best Ideas kuhusu angaliabongo,www.bongocelebrity, www.sautizabongo.blogspot.com, shukrani za dhati, The one n only hubby,you know who u r,umekuwa mstari wa mbele kunipa ushauri n all that..Rafiki wote kwa ujumla including Best from Holland, Rama wa UK, wifi Zulfa,got lot of them so hata na wewe ni mmojawapo bila kuisahau family yangu..

    THANKS AND HERE WE GO AGAIN!

    Always

    Sarah!

    Una lolote nitumie kupitia

    info@angaliabongo.co.tz

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea