Sehemu ya Kuwepo!

23 Nov
muite Busta rhyme akiwa na mchiz wake kutoka flip mode wakikamua katika FIESTA ,iko wazi kuwa mchiz alikamua vibaya sana kiasi cha kutoa fundisho kwa wabongo jinsi gani msaniii unatakiwa kucheza na stage,msaniii pekee ambaye alifanya vizuri ni chidi benz mtoto wa ilala,naweza sema ye ndo anayefuata baada ya busta kwa kukamua vilivyo na kutawala jukwaaa
One Response for "BASTA NA HOMMIE KUTOKA FLIP MODE WAKIKAMUA"
Dada Sarah
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako
Leave a reply