Sehemu ya Kuwepo!

20 Nov
Mmoja wa waanzilishi la kundi la muziki wa kizazi kipya linalojulikana kama Rackaz,Moracka ajitoa kundini kutokana na sababu zake binafsi.
Moracka alisema kuwa kaamua kujitoa kwenye kundi kutokana na sababu zake binafsi zikiwa ni pamoja na kutaka kufanya kazi zake kama Solo arttist na hana ugomvi na memba yoyote wa kundi hilo.
“Nimeamua kujitoa Rackaz kwakuwa nataka kufanya mambo yangu binafsi na sina chuki na mtu yoyote ndani ya kundi hilo”Moracka.
Kumbuka kundi hilo la Rackaz limewahi kutamba na wimbo ‘Rackaz Anthem’ na siku za karibuni waliachia wimbo wao mpya unaoitwa ‘Gambe’ ambao umeanza kupata umaarufu…

Leave a reply