Sehemu ya Kuwepo!
16 Nov

Enzi za mapenzi yao.
Mapenzi ya utoto yalivyoweza kumuharibu msichana wa miaka 20,Johanna Orozco pichani kama anavyoonekana.

Alikuwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzake aitwaye Juan Cruiz ambaye kijana huyo alianza kumbadilikia tabia msichana wake ambaye wlaipendana kwa takribani miaka miwili iliyopita.
Baada ya msichana kuona ‘boyfriend’ anamzingua akaamua kumwambia waachane na akatoa picha za boyfriend wake kwenye mtandao maaarufu wa ‘myspace’.
Kijana baada ya kuona hivyo aliamua kwenda nyumbani kwa msichana huyu na kumbaka huku akimtishia na kisu kumuua kama hatomkubali tena baada ya kumwambia mapenzi yao yamefikia mwisho..
Guess nini kilichotokea?mvulana alimpiga risasi ya kwenye sura na kama unavyoona pichani na tokea hapo msichana huyu maisha yake yamekuwa ni upasuaji kila mara…
Recent Comments