Sehemu ya Kuwepo!
11 Nov
Inaonekana kama mwenyewe kajikubali kuitwa ‘Camel’ kutokana na baadhi ya nyimbo zake ndani ya ‘Blueprint 3′ kujiita Mr Camel..Kwa jinsi wewe unavyoona unaona ni kweli HOV himself amefanana na Camel?
11 Nov
He goes by the name Mahl G all the way from New York…Naweza sema ni kipaji kipya kwenye industry ya music duniani..Mahl ameachia ngoma mbili zinazokwenda kwa jina la ‘Fast Life’ na ‘Cookers’ ambazo zimeanza kusumbua pande zile…Mchizi yupo long time kwenye game na ameshafanya kazi na watu wakubwa kama Rick Ross na huu naweza kusema ndio muda wake wa kutoka…..Anafuata nyayo za Drake….
“I’ve been up. I’ve had money. I’ve been broke. I’ve been to college. I’ve been incarcerated. I’ve laid low in the suburbs. I’ve done dirt in the hood. I’ve worked a job. I’ve hustled in the streets. I’m a real dude and I’m going to tell you my story” MAHL G.
Recent Comments