IMG_5174

Usngizi popote pale ilimradi uweze kujilaza tu..Pichani mtu ambaye hakuweza  kufahamika jina lake maeneo ya Tabata akiwa amejipumzisha kwenye kituo cha daladala na jua la Dar..