Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for November 3rd, 2009

Dogo Dito ndani ya THT

Alikuwa ndani ya Watu Pori ya Afande Sele na baadaye akaamua kujitenga na baadaye akaamua kuingia La Familia lakini hakudumu sana na sasa yupo ndani ya THT akiwa kama Back vocalist………Hiyo ni kwakifupi kuhusu Dogo Dito kwa wale waliouliza alipo na anafanya nini.bmd477e0533704f9

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Fatma Amour ndani ya US…

    April 2009 104My girl Fatma Amour ndani ya US ambapo amepata nafasi ya kuonesha mavazi yake na vilevile vazi la KAKAKUONA kubakia kwenye makumbusho ya Arts College ya Ohio…All the Best Fatma!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Msanii aliyetamba na wimbo ‘Dunia Njia’,Ruta Bushoke hayupo tena kwenye lebo aliyokuwa nafanya nayo kazi ya Zizzou fashions ya jinjjini Dar-es-salaam na wakati huohuo Mzee Zahir Ally Zorro asaini mkataba na lebo hiyo..bushoke

    Angaliabongo.co.tz inamtafuta Bushoke ili aweze kuelezea mpango wake mpya baada ya kuondoka Zizzou.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea