Sehemu ya Kuwepo!
23 Nov
muite Busta rhyme akiwa na mchiz wake kutoka flip mode wakikamua katika FIESTA ,iko wazi kuwa mchiz alikamua vibaya sana kiasi cha kutoa fundisho kwa wabongo jinsi gani msaniii unatakiwa kucheza na stage,msaniii pekee ambaye alifanya vizuri ni chidi benz mtoto wa ilala,naweza sema ye ndo anayefuata baada ya busta kwa kukamua vilivyo na kutawala jukwaaa
20 Nov
Mmoja wa waanzilishi la kundi la muziki wa kizazi kipya linalojulikana kama Rackaz,Moracka ajitoa kundini kutokana na sababu zake binafsi.
Moracka alisema kuwa kaamua kujitoa kwenye kundi kutokana na sababu zake binafsi zikiwa ni pamoja na kutaka kufanya kazi zake kama Solo arttist na hana ugomvi na memba yoyote wa kundi hilo.
“Nimeamua kujitoa Rackaz kwakuwa nataka kufanya mambo yangu binafsi na sina chuki na mtu yoyote ndani ya kundi hilo”Moracka.
Kumbuka kundi hilo la Rackaz limewahi kutamba na wimbo ‘Rackaz Anthem’ na siku za karibuni waliachia wimbo wao mpya unaoitwa ‘Gambe’ ambao umeanza kupata umaarufu…

16 Nov

Enzi za mapenzi yao.
Mapenzi ya utoto yalivyoweza kumuharibu msichana wa miaka 20,Johanna Orozco pichani kama anavyoonekana.

Alikuwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzake aitwaye Juan Cruiz ambaye kijana huyo alianza kumbadilikia tabia msichana wake ambaye wlaipendana kwa takribani miaka miwili iliyopita.
Baada ya msichana kuona ‘boyfriend’ anamzingua akaamua kumwambia waachane na akatoa picha za boyfriend wake kwenye mtandao maaarufu wa ‘myspace’.
Kijana baada ya kuona hivyo aliamua kwenda nyumbani kwa msichana huyu na kumbaka huku akimtishia na kisu kumuua kama hatomkubali tena baada ya kumwambia mapenzi yao yamefikia mwisho..
Guess nini kilichotokea?mvulana alimpiga risasi ya kwenye sura na kama unavyoona pichani na tokea hapo msichana huyu maisha yake yamekuwa ni upasuaji kila mara…
11 Nov
Inaonekana kama mwenyewe kajikubali kuitwa ‘Camel’ kutokana na baadhi ya nyimbo zake ndani ya ‘Blueprint 3′ kujiita Mr Camel..Kwa jinsi wewe unavyoona unaona ni kweli HOV himself amefanana na Camel?
11 Nov
He goes by the name Mahl G all the way from New York…Naweza sema ni kipaji kipya kwenye industry ya music duniani..Mahl ameachia ngoma mbili zinazokwenda kwa jina la ‘Fast Life’ na ‘Cookers’ ambazo zimeanza kusumbua pande zile…Mchizi yupo long time kwenye game na ameshafanya kazi na watu wakubwa kama Rick Ross na huu naweza kusema ndio muda wake wa kutoka…..Anafuata nyayo za Drake….
“I’ve been up. I’ve had money. I’ve been broke. I’ve been to college. I’ve been incarcerated. I’ve laid low in the suburbs. I’ve done dirt in the hood. I’ve worked a job. I’ve hustled in the streets. I’m a real dude and I’m going to tell you my story” MAHL G.
5 Nov
Usngizi popote pale ilimradi uweze kujilaza tu..Pichani mtu ambaye hakuweza kufahamika jina lake maeneo ya Tabata akiwa amejipumzisha kwenye kituo cha daladala na jua la Dar..
3 Nov
Alikuwa ndani ya Watu Pori ya Afande Sele na baadaye akaamua kujitenga na baadaye akaamua kuingia La Familia lakini hakudumu sana na sasa yupo ndani ya THT akiwa kama Back vocalist………Hiyo ni kwakifupi kuhusu Dogo Dito kwa wale waliouliza alipo na anafanya nini.
3 Nov
My girl Fatma Amour ndani ya US ambapo amepata nafasi ya kuonesha mavazi yake na vilevile vazi la KAKAKUONA kubakia kwenye makumbusho ya Arts College ya Ohio…All the Best Fatma!
3 Nov
Msanii aliyetamba na wimbo ‘Dunia Njia’,Ruta Bushoke hayupo tena kwenye lebo aliyokuwa nafanya nayo kazi ya Zizzou fashions ya jinjjini Dar-es-salaam na wakati huohuo Mzee Zahir Ally Zorro asaini mkataba na lebo hiyo..
Angaliabongo.co.tz inamtafuta Bushoke ili aweze kuelezea mpango wake mpya baada ya kuondoka Zizzou.
Recent Comments