Hali hii Itaendelea mpaka lini nchini?
Author: Sarp
29
Oct

Loading ...
Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi moja iliyopo hapa nchini Tanzania.Kuna wabunge husika na kuna serikali lakini bado hali hii ipo,Je kwa wanafunzi hawa karne ya 21 ipo??Serikali naomba ifumbue macho kuhusu hali kama hii.
Related Posts
- Hali halisi ndiyo hii…
- Tuzo za wanafunzi Tanzania
- Hii ndiyo hali halisi ya leo
- hivi ndivyo wasanii wetu wana vyo hustle jamani,imekaaje hii?
- Lini wasanii nchini watakuwa wasafi?!
Filed under: Angalia Bongo
2 Responses for "Hali hii Itaendelea mpaka lini nchini?"
hali hii itaendelea lowassa na rostama aziz wakifa
Kama darasa lipo kama hivi unategemea choo kitakuaje.
Leave a reply