Archive for October 23rd, 2009

  • Radio na Weasal wachukua tuzo za AMAs huko UK

    Radio na Weasal wachukua tuzo za AMAs huko UK

    Wanamuziki kutoka nchini Uganda ambao kwa sas a ndio talk pande zile,Radio na Weasal  wamekuwa washindi pekee kutoka Afrika Mashariki  kuchukua tuzo yza African Music Awards zilizofanyika nchini Uingereza  wiki iliyopita… Hii imeonesha ni kiasi gani wanamuziki hawa chipukizi walivyoweza kuiteka  music industry hapa East...

    Full Story

  • Nani alaumiwe kwenye hili?

    Nani alaumiwe kwenye hili?

      Kuna kisa kimoja nilikisikia sehemu nikaona ni heri niandike kuhusu hili ili na wewe mdau uweze kuelezea kile unachofikiria.Kisa chenyewe ni hivi: Kuna mama mmoja ana watoto watano ambao kila mtoto na baba yake. Watoto hao kwa sasa ni wakubwa tu na wamefikia umri wa...

    Full Story