Archive for October 8th, 2009

  • Yuko wapi Renee Lamira?!

    Yuko wapi Renee Lamira?!

    Mwanadada huyu aliwahi kutamba sana siku za nyuma na ngoma zake ka a’Ngoma’ pamoja na ‘Fitina’ lakini baada ya hapo jina likawa kimya. Kwa habari nyepesi nyepesi kuwa Renee ameokoka na ameamua kuacha muziki. Lakini ukweli unabaki palepale kuwa yupo wapi na anafanya nini?Kama unazo...

    Full Story