Archive for October 6th, 2009

  • Happy Bday Bro from different parents!

    Happy Bday Bro from different parents!

    Its your day Mnyamwezi so let you celebrate It accordingly and may you live Long Life… May God blesses be upon you! Happy Bday!

    Full Story

  • Show some love!

    Show some love!

    Wasanii wa kizazi nchini Pipi ya Minti aliyeshirikishwa kwenye wimbo ‘Njia Panda’ na Marlaw anayetamba na wimbo “Peep Peep” wakiwa backstage baada ya kumaliza makamuzi ya fiesta. Kuna wimbo ambao wawili hawa wanatarajia kuuachia,so kaa tayari kupata fleva ya Pipi na Marlaw!

    Full Story

  • Nyota Ndogo awa mkali!

    Nyota Ndogo awa mkali!

    Mwanamuziki wa kike kutoka nchini Kenya,Nyota Ndogo awa mkali baada ya kuitwa ‘malaya’ na mpiga debe na kuamua kumuitia polisi kwa kudai kuwa yeye si malaya. Tukio hilo lilitokea huko nchini Mombasa ambapo Nyota alikuwa maeneo ya stendi na ndipo mpiga debe alipomuita malaya. Nyota...

    Full Story