Sehemu ya Kuwepo!

1 Oct
MKALI WA ILALA muite chidi beenz toka pande za ILALA atimaye atoka sello kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kumpiga na chupa kichwani promota mmoja huko jijini mwanza,chanzo cha habari kilisema chidi alifanya hivyo baada ya promota huyo kuenda kinyume na makubaliano ya kazi yao ambapo chidi alichukua jukumu la kumpiga na chupa promota huyo,baada ya hapo chidi alipanda pipa na kukimbilia A TOWN na promota akachukua ndinga hadi dar na kuchukua RB police oysterbay ambapo tarehe 29 polisi walifanikiwa kumtia msanii huyo mikononi,lakini ametoka kwa dhamana,na pia amerudisha shillingi za kitanzania 250,000 na bado anadaiwa sh 500,000,
Leave a reply