Archive for October 1st, 2009

  • chidi nje kwa dhamana

    chidi nje kwa dhamana

    MKALI WA ILALA muite chidi beenz toka pande za ILALA atimaye atoka sello kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kumpiga na chupa kichwani promota  mmoja huko jijini mwanza,chanzo cha habari kilisema chidi alifanya hivyo baada ya promota huyo kuenda kinyume na makubaliano ya kazi yao...

    Full Story