Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for October, 2009

Je hii ni kweli?

long fingersSipo na uhakika na hili suala na ndio maana nimeamua kuliweka hapa ili wewe mdau uweze kuweka ukweli…Je hivi ni kweli kwamba wanawake wenye vidole virefu huwa wako Good and Sweet on bed?

  • 7 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • 9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_nHawa ni wanafunzi wa shule ya msingi moja iliyopo hapa nchini Tanzania.Kuna wabunge husika na kuna serikali lakini bado hali hii ipo,Je kwa wanafunzi hawa karne ya 21 ipo??Serikali naomba ifumbue macho kuhusu hali kama hii.

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Wanamuziki kutoka nchini Uganda ambao kwa sas a ndio talk pande zile,Radio na Weasal  wamekuwa washindi pekee kutoka Afrika Mashariki  kuchukua tuzo yza African Music Awards zilizofanyika nchini Uingereza  wiki iliyopita…

    Hii imeonesha ni kiasi gani wanamuziki hawa chipukizi walivyoweza kuiteka  music industry hapa East Africa..

    Wanamuziki wengine waliopata tuzo kutoka Afrika ni pamoja na  2FACE,Dbanj pamoja na Samini.Kwa nchini Ali Kiba alichaguliwa kwenye kinyang’anyiro hiko lakini ameambulia patupu!!!!!

    IMG_2221

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Nani alaumiwe kwenye hili?

     

    Kuna kisa kimoja nilikisikia sehemu nikaona ni heri niandike kuhusu hili ili na wewe mdau uweze kuelezea kile unachofikiria.Kisa chenyewe ni hivi:

    Kuna mama mmoja ana watoto watano ambao kila mtoto na baba yake.

    Watoto hao kwa sasa ni wakubwa tu na wamefikia umri wa kujuana vyema na wanahoji inakuaje wamezaliwa mama mmoja na baba tofuati?na kuhisi kuwa mama yao alikuwa hajatulia kwakuwa kila mtoto na baba yake.

    Suala hili linawezakana likawa ni kweli kuwa mama wa watoto hawa hakuwa mtulivu kwenye mahusiano yake kutokana na kuwa na kila mtoto na baba yake.

    Lakini kuna upande mwingine ambao siku zote sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu upande wa mama,unajua ni nini?Kuwa inawezekana mama huyu alikuwa anaingia kwenye mahusiano na baada ya kuzalishwa anakimbiwa au anakutana na wanaume ambao wanamdanganya na kumzalisha,Je ulishawahi kufikiria hivyo?

    Cha muhimu tusiwe tunawalaumu wamama/wanawake ambao wamezaa na wanaume tofauti kwakuwa hatujui wamepitia mangapi.Ni hayo tu!!Leta mchango wako Mdau katika hili!

    trey6

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Silvester,Bonge na Ghea Habib ndani ya uwanja wa Kambarage,Shinyanga.

    Silvester,Bonge na Ghea Habib ndani ya uwanja wa Kambarage,Shinyanga.

    Watu walikesha na Ngwear pia.

    Watu walikesha na Ngwear pia.

    Quick Rocka Mzee wa fasta ndani ya Fiesta,Shinyanga.
    Quick Rocka Mzee wa fasta ndani ya Fiesta,Shinyanga.

    Baby Madaha akishow what her mama alichompa.Picture 440

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Wanasiasa!

    Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya sana porini,na baada ya ajali hiyo alitokea mkulima mmoja na alipoona hivyo alichimba shimo kubwa na kuwazika wote kwa pamoja.
    Baadaye polisi walikuja eneo la tukio na kumkuta huyo mkulima na kuanza kumhoji kuhusiana na ajali hiyo pamoja na maiti.
    na mahojiano yalikuwa hivi:-

    Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?
    Mkulima :- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa..
    Polisi :- Zipo wapi maiti?
    Mkulima :- Nimezizika
    Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa?
    Mkulima :- Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo!!!mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote….

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • 10424_136150479164_674069164_2401669_5199794_n

    Watanzania waishiyo nchini India wanaocheza mpira wa miguu  wamefuzu kuingia fainali baada ya kuwafunga Oman bao 2-1.

    Ramadhani Mwanga anayejulikana zaidi kama Ramadinho aliiwezesha timu yake ya Tanzania kujipatia ushindi na hivyo kufuzu kuingia nusu fainali watakaocheza na Germany.

    Kila la kheri Watanzania nchini India

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • sugu2bcNi mmoja kati ya waanzilishi wa Bongo fleva nchini na hapa namzungumzia Sugu ambaye wiki iliyopita ameachia wimbo ‘Hold On’  aliomshirikisha Andre ambao umeanza kufanya vizuri kwenye radio mbalimbali nchini….

    Wimbo huo upo kwenye albam mpya ya SUgu inayotarajiwa kuzinduliwa mwezi Dec itakayokuwa na jumla ya nyimbo kumi..

    Hii ni kwa ufupi tu ILA kwa zaidi endelea kuAngaliabongo!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • baba-wa-taifabcAlizaliwa tarehe 13 April,Same as my birthdate but different years na alifariki siku ya tarehe 14 Oct 99′..

    Miaka yote hiyo amekuwa akisimama kuona kuwa Tanzania inakuwa nchi ya kujitegemea yenyewe na hilo alifanikiwa kwa njia moja au nyingine.

    Tutamkumbuka kwa mengi lakini kubwa zaidi ambalo alilifanya hayati baba wa Taifa ni kuhakikisha TZ inakuwa nchi ya amani na hilo tunaliona..

    Mungu amlinde Hayati baba wa Taifa..

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • WE ARE BACK..

    SAMAHANI SANA KWA KUTOKUWA HEWANI NA HILO LILITOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI…SASA TUENDELEE PAMOJA!Angaliabongo,Sehemu ya kuwa!

    ASANTE

    SARAH.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea