About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for September, 2009
-
Unavaa tu,Unajua maana yake au fashion?
Posted on September 1, 2009 | 1 CommentNI skafu zenye zilizoanzia huko Uarabun na zinajulikana kama Keffiyeh au shemagh na ni alama ya utamaduni ya kiarabu…. Haswa hufungwa kichwani kwa wanaume na hivyo kuonesha umaridadi wa kijana wa kiarabu au vilevile ni alama ya ujasiri hasa vijana wa kiarabu wakiwa vitani Sasa... -
Lini wasanii nchini watakuwa wasafi?!
Posted on September 1, 2009 | 2 CommentsKila siku watu wanalalamika jinsi wasanii wa kizazi kipya nchini walivyokuwa hawapendi kujiweka safi,lini wataweza kubadilika? Pichani ni picha ya msanii mmoja maarufu wa Bongo fleva nchini. Mwangalie jinsi alivyo.Ni msanii wa kizazi kipya anayedai kuelimisha jamii,kwa kujiweka hivi atawezaje kuelimisha jamii?Wasanii wanahitaji kubadilika.
