Hatimaye MJ azikwa.

michael-jacksonHatimaye aliyekuwa mfalme wa Pop duniani,Michael Jackson azikwa baada ya kipindi cha takribani miezi mitatu  tokea kifo chake.

Maazishi ya aliyekuwa mfalme wa Pop yalihudhuriwa na watu wachache wakiwemo familia yake,ndugu wa karibu na marafiki akiwemo Chris Tucker.

Mungu ailazer roho ya Mj mahali pema peponi.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. REST IN PEACE DEAR FRIEND REHEMA
  2. Nasma Hamis azikwa leo
  3. Eti Chris Brown aomba msamaha?!
  4. Salamu za Pole kwa MB Dog
  5. Hatimaye MJ kuzikwa Aug 29.

About the Author