About Angalia Bongo
Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with what is on my mind..İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian... Love friends and believe to DİE with something as was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me.Anyting contact;angaliabongo@yahoo.com Thanks for passing by xoxox..... Read More
Sikiliza BongoFlava
Blogroll
- Africa Bambataa
- Afrojam
- Anh Vu
- Blazing Zone
- Bongo Celebrity
- Bongo Star Link
- Candy World
- Changamoto
- Dee
- Dina Marios
- Fashion Junkii
- Jamii Forums
- Jiachie
- John Kitime
- Karibu Nyasa
- Kisima Cha Fikra
- Kulikoni Ughaibuni
- Ladies Stuff
- Loveness Luv
- Maisha na Mafanikio
- Matukio UK
- Mtaa Kwa Mtaa
- Sauti za Bongo
- Shamim
- Sheria na Mavazi
- Simon
- Subi
- Swagga Bovu
- Total Knockout
- U-TURN
- Viva Afrika
Archive for August, 2009
-
Mustafa Hassanali presents Zanzibar Charity Show
Posted on August 11, 2009 | No CommentsThe Mental Hospital of Zanzibar , Kidongo Chekundu, built in 1947 during the British colonial period has been in dire need of funding for a long time. Hence Explore Zanzibar took the initiative to raise funds so as to bring about a change. Maryam Olsen,... -
Ditto kajitoa La Familia..
Posted on August 10, 2009 | No CommentsDitto aliyekuwa mmoja wa memba wa La Familia iliyo chini ya Chid Beenz aamua kujiengua kundini na kusema kuwa amesign out na hatohusika na jambo lolote lile linalohusiana na La Familia. “Kuanzia tarehe28.7.2009 nimejitoa ndani ya kundi na sitahusika na jambo lolote la La Familia,nafikiria... -
Its Drake….
Posted on August 10, 2009 | 1 CommentSingle yake ya kwanza ilikuwa ni Replacement Girl” ambayo alitoa mwaka 07 lakini haikuweza kubamba…Huyu ni Drake mzaliwa wa Canada ambaye kwa sasa anatamba na “Best I Ever Had” na vilevile kushirikishwa kwenye wimbo ‘Every Girl’ wa Lil Wayne pamoja na Young Money… Yupo chini ya... -
Ni summer hair style tu!
Posted on August 4, 2009 | No CommentsKumbe kuna summer hair style jamani! Pichani mwanamuziki Ciara akiwa ana nywele fupi na ndefu. Watu walihoji muonekano wake huo mpya wa nywele na Hair stylish wake, Kiyah Wright alisema kuwa muonekano huo wa nywele fupi ni wigi tu alilolivaa kwakuwa ni kipindi cha joto... -
Unawakumbuka hawa na ‘The Boy is Mine?
Posted on August 4, 2009 | No CommentsNi Monica Anorld na Brandy ambao walikubalika sana na ‘The Boy Is Mine‘ miaka ya nyuma kidogo.. Kuna habari kuwa wanataka kufanya duet yaani wimbo wa pamoja tena, Je wataweza kuweka record za ‘The Boy Is Mine‘ -
Ujio Mpya wa Vicky Kamata
Posted on August 4, 2009 | 3 CommentsLazima utakuwa unakumbuka wimbo ‘Wanawake na Maendeleo‘ ambao miaka ya nyuma kidogo ulitokewa kupendwa sana na hata kutumiwa kwenye kampeni za chama cha Wanawake na maendeleo.. Kwa takribani miaka miwili alikuwa masomoni nje ya nchi na kwa sasa yupo nchini baada ya kumaliza masomo yake.... -
New product from Mbeya.
Posted on August 4, 2009 | 1 CommentA new product kutoka Mbeya, Izzo B yuko pale kwa MJ Rec akimalizia album yake ya kwanza. Kwa kukukumbusha tu Izzo aliwin deal ya kurecord albam nzima chini ya lebo ya MJ baada ya kushinda kwenye tamasha la Fiesta mwaka jana. Izzo imetoa wimbo mpya... -
Maisha sio sawa,take a look…
Posted on August 4, 2009 | No CommentsNi baadhi ya mambo ambayo yanatokea katika jamii yetu.. -
Bongo Facebook Party!
Posted on August 4, 2009 | 1 CommentYou are Invited to Join us for BONGO FACEBOOK PARTY -PEACOCK HOTEL MILLENIUM TOWER in Dar es Salaam,Tanzania on Sat August 8th 2009 From 2pm til 8pm. Lets Get Together, Hang Out With Friends, Eat, Drink, Meet New People and Have FunFollowed By Night Of... -
Yupi bora zaidi?
Posted on August 3, 2009 | 4 CommentsKila mtu ana choice na kile akipendacho,Je wewe unapenda mwanamke aweje?Kibonge au skinny??
