Archive for August, 2009

  • From Mdau

    From Mdau

    Nimekaa nimefikiria baada ya majadiliano na muungwana mmoja, nimejiuliza hivi ma A-list celebrities wa Tanzania ni kina nani? Namaanisha wale ambao wakitokea sehemu basi watazongwa na washabiki, wahandishi wahabari na mapaparazzi? **Majadiliano yalianza baada ya kuona umati wa watu waliokwenda uwanja wa ndege kumpokea Hasheem...

    Full Story

  • Zombe na wenzake Nje leo….

    Zombe na wenzake Nje leo….

    Jibu limepatika leo baada ya miaka mitatu iliyopita ambapo watuhumiwa nane wa kesi ya mauaji wakiongezwa na Abdallah Zombe waachiwa huru leo. Zombe na wenzake walikuwa akituhumiwa kuwaua kwa kukusudia Sabinus Chigumbi, maarufu kama Jongo na ndugu yake Ephrahim Chigumbi na Mathias Lunkombe ambao walikuwa...

    Full Story

  • Huyu ndiye Pipi Ya Minti

    Huyu ndiye Pipi Ya Minti

    ‘Njia Panda’ ndio wimbo uliomtoa Pipi na Barnabas…Pichqani akiwa kwenye pozi. Picha kwa hisani ya Globalpublisherstz.co,

    Full Story

  • Mdimu kwenye BSS

    Mdimu kwenye BSS

    Mwenyewe anadai kuwa anajua kuimba na hivyo ameamua kuingia rasmi kwenye game..Nimemwambia mimi nitajitahidi kutoa promo kitaani…..This Is Henry Mdimu unaweza ukampata kupitia www.henrymdimu.blogspot.com

    Full Story

  • Pole kwa Saigon

    Pole kwa Saigon

    Mke wa aliyewahi kuwa rapa wa Diplomat na mtangazaji wa kituo cha EATV nchini Saigon afariki dunia hapa jijini juzi,kumbuka ni mwezi tu tokea Saigon afunge ndoa na mkewe huko mkoani Iringa. Angaliabongo haijaweza kupata habari zaidi juu ya kifo cha mke wa Saigon ila...

    Full Story

  • Cpwaa na Problem yake.

    Cpwaa na Problem yake.

    Master of crunk Bongo,Cpwaa,Cp anayetamba na ‘Problem’ aleta mapinduzi mapya kwenye muziki aina ya crank. Ana staili ya kipekee ambapo hapo mwanzo alikuwa haeleweki lakini sasa ameonekana kueleweka na aina hiyo ya muziki anayoimba kuanza kuigwa na wanamuziki wengine. Alianza na Six In The Morning’...

    Full Story

  • Tuzo za Vinara 2009

    Tuzo za Vinara 2009

    Mchakato wa kutafuta vinara wa filamu Tanzania kwa mwaka huu utawahusisha wananchi kupitia upigaji kura. Wapenzi wa tasnia ya filamu nchini watapendekeza filamu ambazo wanaona zinastahili kuingia tuzo za vinara wa filamu. Mbali an wananchi pia kuna taasisi mbali mbali kama vile kampuni ya uhasibu...

    Full Story

  • Its a baby boy!

    Its a baby boy!

    Mwanamuziki wa rnb nchini Marekani,Jeniffer Hudson apata mtoto wa kiume aliyempa jina la David Otunga Jr mwishoni mwa wiki iliyopita. Baba wa mtoto amedai kuwa wameamua kumpa jina hilo kwakuwa he took after him completely!!

    Full Story

  • Iluminata,Wish you the Best

    Iluminata,Wish you the Best

    Yupo kwenye nafasi nzuri na tunachotakiwa sasa ni kumuomba Mungu,mshiriki wetu,Iluminata aweze kufanya vizuri kwenye mashindano ya kumtafuta Miss Universe mwaka 2009.

    Full Story

  • Wanahabari wote,Muhimu.

    Wanahabari wote,Muhimu.

    Je wewe ni mwanablogu (Blogger) au mdau wa habari na mawasiliano kwa umma kwa kutumia mtandao? Kama jibu ni ndio, tafadhali unaombwa kujiorodhesha kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano Maalumu la Kitaifa kwa ajili Wanablogu (Bloggers) na wadau wa habari na mawasiliano wa Tanzania (Tanzanians...

    Full Story