Neno la kitaa Ijumaa hii na maana yake..

Ni kitu kipya ndani ya Angalia Bongo..Kila siku ya Ijumaa nitakuwa nakuletea maana ya maneno ya mitaaani yanayoongelewa sana siku hizi na vijana..Kwa wiki hii naanza na maneno haya

WordOntheStreet

 

Umefulia-Umeishiwa kifedha.

Gambe-Pombe.

Kicheche-Mwanamke/mwanaume malaya.

Mzigo-Kitu chochote kizuri/mwanamke

Mwamwi(mwanzo mwisho)-Hakuna kuachia jambo fulani mpaka ieleweke.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Unaelewa maana ya neno ‘HATER’? hebu soma…
  2. Unavaa tu,Unajua maana yake au fashion?
  3. Samaki,Bata unajua maana yake?
  4. Pombe…Pombe + Ukojozi.
  5. Unachora…Unaelewa Maana Yake?

About the Author