
Wanamuziki P-Squere kutoka nchini Nigeria wanatarajia kutoka na muonekano mpya pamoja na kuachia albam yao nyingine ya ‘Danger’ inayotarajia kutoka mwezi ujao.
Peter na Paul walihabarisha kuwa wana muonekano huo mpya utaonekana siku ambayo wataachia albam hiyo hivyo watu waae tayari kwa New P-Squere LOOK of the year 2009.
Related posts:
