
She goes by the name Witness aliyetokea kwenye kundi Wakilisha miaka ya nyuma kidogo.
Kwa sasa Witness anafanya kazi zake za muziki binafsi na ameweza kukubalika hasa na nyimbo zake kama ‘Zero‘ ambayo ilimuwezesha kupata tuzo za Chanell 0 na sasa anatamba na wimbo ‘Attention Please‘…
Kitu muhimu kwa Witness ambacho na wewe nahitaji mchango wako ni kuwa Inasemekana msichana huyu anayeimba HipHop ambayo ni aina mojawapo ya Muziki ndiye anayefunika kwenye upande wa wanawake nchini,yaani hakuna kama yeye kwenye HipHop, Je kuna ukweli wowote kuhusiana na jambo hili?!
Weka chochote ili ukweli kuhusu jambo hili uweze kujulikana.Vilevile kama unamjua msanii yeyote wa kike nchini anayefanya Hiphop, weka jina lake ili ANGALIA BONGO iweze kumtafuta na kwa namna moja au nyingine kuweza kuinua kipaji chake….
Related posts:
