Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for August, 2009

Ni kitu kipya ndani ya Angalia Bongo..Kila siku ya Ijumaa nitakuwa nakuletea maana ya maneno ya mitaaani yanayoongelewa sana siku hizi na vijana..Kwa wiki hii naanza na maneno haya

WordOntheStreet

 

Umefulia-Umeishiwa kifedha.

Gambe-Pombe.

Kicheche-Mwanamke/mwanaume malaya.

Mzigo-Kitu chochote kizuri/mwanamke

Mwamwi(mwanzo mwisho)-Hakuna kuachia jambo fulani mpaka ieleweke.

  • 2 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Drake azidi kuachia mambo

    drake-lil-wayne-eminem-kanye-west-photos

    Kipaji kipya from Young Money, Drake aachia ngoma yake ingine inayokwenda kwa jina la ‘Forever’ aliyowakutanisha wakali wa Hiphop,Kanye,Em pamoja na Wizzle…Kabla ngoma hii haijaachiwa leo hii,ilikuwa tayari imesha-leak kupitia internet…

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • 1201853123__mg_37261webs
    Besta ambaye aliwahi kutamba na ngoma ‘Baby Boy kutoka nchhini akana kuwa na mimba ya Marlaw na kuweka wazi kuwa hata uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo hana zaidi ya kuwa majirani tu.

    “Sina ujauzito wa Marlaw,nashangaa imesambaa hivyo,Marlaw ni jirani yangu na rafiki mkubwa lakini si zaidi ya hapo”Besta.

    Aliongezea kuwa ana mpenzi wake na Marlaw ana mpenzi wake hivyo watu waelewe hilo..

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • tip top chaliiiiiiiii

    bmd4a9d09305ff2emsanii spark ajitoa tip top connection,spark amedai kinachomkimbiza kwenye chama hilo ni mkwanja mbuzi anaoupata ukilinganisha na kazi anazopiga,spark amedai kuwa uongozi unakula ela nyingi kuliko yeye anyepiga ngoma kali na hivyo kufikia hatua ya kujitoa,mkubwa wa kundi alidakwa na camera yetu na kusema kama ifuatavyo,unajua wasanii wengine hawana akili,wanapokuja kuomba udhamini wanakuja wakiwa na adabu na heshma kwa kuwa wanakua hawana kitu hivyo uongozi hutumia ela nyingi kuwalipia ku record na pia videos lakini mwisho wa siku wanapoanza kupata majina wanasahau walikotoka nakuanza kuvimba kichwa na kudai ela haitoshi,wametoka wengi kama akina mb dog cassim,z anto pingu na desso na spark pia lakini chama wala halitoshuka chini ni ma speed yaleyale,

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • P-Squere na muonekano mpya.

    psquarewhite

    Wanamuziki P-Squere kutoka nchini Nigeria wanatarajia kutoka na muonekano mpya pamoja na kuachia albam yao nyingine ya ‘Danger’  inayotarajia kutoka mwezi ujao.

    Peter na Paul walihabarisha kuwa wana muonekano huo mpya utaonekana siku ambayo wataachia albam hiyo hivyo watu waae tayari kwa New P-Squere LOOK of the year 2009.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Cpwaa 2

    Anatamba na ‘Problem‘  ngoma iliyomuweka juu more than ever..Ni Cpwaa ambaye mwenyewe anadhibitisha kuwa ameleta mabadiliko kwenye muziki wa Bongo kwa kutambulisha Bongo Crank na watu kuweza kumkubali.

    Kubwa zaidi kutoka kwa Cpwaa ni ile staili yake ya kuweza kujua habari zake kupitia simu yako ya mkononi ambayo ameitambulisha siku zilizopita kidogo.

    Lengo hilo kubwa la Cp la kuweza kupata habari zake kupitia simu yako ya kiganjani limekuja kutokana na yeye mwenyewe kuwa mtu wa kupenda kutumia sana Technolojia.

    Anadai kuwa amesomea Technology hivyo hana budi kuitumia…..Anaachia ngoma mpya kabla ya mfungo wa Ramadhani na baada ya hapo kuna kitu maalumu kakuatayarishia wewe fan wake…anadai ni kiteknolojia zaidi…Nini hiko?Endelea kuangalia Bongo….Utaelewa tu!

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Sorry,No Rihanna In me-Ciara

    ludacris foundation 230809

    Baada ya kusemwa sana kuwa amemuiga mwanamuziki mwenzake Rihanna ile style ya nywele na hair stylishh wake kumtetea kuwa style ile ilikuwa ni kwaajili ya kipindi hiki cha summer,Ciara aamua kulivua wigi na kurudia style aliyozoeleka na watu.

    Kama unavyomuona pichani akiwa na long hair na kufunga midomo ya wale waliokuwa wanaamini kuwa kakata nywele kumuiga Rihanna.Hapo alikuwa kwenye event iliyoandaliwa na Lucacris Foundation huko
    Malibu, Los Angeles  juzi.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Tundaman,Spark vipi?

    tunda-man

    Wiki iliyopita wasanii hawa kutoka Tiptop Connection walitangaza rasmi kujitoa kundini humo kwa kudai ni sababu binafsi..Baada ya muda kidogo,Tunda akasema kuwa hajajitoa na aliyejitoa ni Spark.

    Story inaendelea kwa Tunda kumpiga biti Spark kutoimba wimbo walioimba pamoja wa ‘Ripoti Mtaani’ kwakuwa wimbo huo aliutunga Tunda na ni mali ya Tip Top Con.

    Spark anamwambia kuwa ataimba kwakuwa wimbo huo alitoa idea yeye na kujitoa kundini n sababu binafsi hivyo asimzingue…Sasa kieleweke kipi kati ya hawa wasanii tokea TipTop Conn?Ni utoto au?

    www.angaliabongo.co.tz itakuletea zaidi kitakachotokea baina ya wanamuziki hawa wawili

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Baby Powder mtaani soon!

    Pichani ni baadhi ya washiriki wa filamu ya Baby Powder

    Pichani ni baadhi ya washiriki wa filamu ya Baby Powder

    Baby Powder filamu mpya kabisa ya Kibongo itakayoachiwa mapema tarehe 26 mwezi wa kumi na moja iliyochezwa nchini Marekani.

    Filamu hii itahusu maisha halisi ya watanzania waishio nchini Marekani.Kwa kifupi tu kuhusu filamu hii ni Mtanzania alimaliza elimu yake huko Kansas na kwenda kuamua kutafuta kazi mji mwingine.

    Akiwa mji mwingine wa Atlanta,anajiunga na watu wengine ambao wana maadili mabaya.Kijana huyo anataka kujaribu kujitoa na hapo ndipo panakuwa na kazi kwani inakuwa TOO LATE…Ni moja ya filamu bora ambayo hutakiwi kukosa kuinunua.

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Simu zinauzwa…

    YOW9575960_1

    Simu zinauzwa,Black Berry 8990 pamoja na G1.Kwa maelezo zaidi wasiliana na Festo Faustine,Namba za simu ni +255 764 47 18 00.google_android_1

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea