Archive for July, 2009

  • Hasheem ndani ya jezi za Memphis

    Hasheem ndani ya jezi za Memphis

    Hasheem anakuwa mtanzania wa kwanza kufikia hatua ya kucheza kwenye ligi kubwa yampira wa kikapu duniani ya NBA.Tanzania tuna kila sababu ya kufurahia mafanikio yake na kumtakia kila la kheri. Hivi sasa anakuwa,bila shaka, “balozi” wetu katika ulimwengu wa michezo hususani mpira wa kikapu.All The...

    Full Story

  • XXL Back 2 Skool Its here

    XXL Back 2 Skool Its here

    Wajanja wote ndio siku yao hii,anza kujichanga cauze this day is so special kwa wote wanaopenda muziki wa Kibongo.Wapi,lini,saa…hebu angalia hapo..

    Full Story

  • Back 2 skool Bash ndnai ya Wet N Wild

    Back 2 skool Bash ndnai ya Wet N Wild

    XXL Bak 2 Skool Bash…..Is the 1st and big party which is organised by XXL ya Cloudsfm At The Kunduchi Wet N Wild. Next Saturday for Only 5000 shs if u will buy Your Ticket in Advance au 7000 at the get…We Get Wet N...

    Full Story