Mo  racka
Ametamba na ngoma ‘Kisa Mi Nashine’ na sasa wameachia ngoma ya crew inayokwenda kwa jina la ‘Rocka Anthem’..Ni Mo Rocka,Mo style,Mo rymes..Na yeye pia leo ni birthday yake..Vilevilee yupo kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Sexiest Man In Dar.Ingia kwenye sehemu ya msg,andika neno SM Moraka kwenda namba 15584 hapo utakuwa umemchagua Mo Rocka kuwa Sexiest man In Dar.Kumbuka mwisho wa shindano hili ni alhmis hii.

Related Posts

  1. Fid ajiweka karibu zaidi na Mafans wake
  2. Mchague Makamua Kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo za Kili.
  3. Hiki ndio kichwa kingine from Rockaz..Quick Rockaz
  4. The Sexiest Man In Dar,Mo Rocka!
  5. Rockaz kuja na ‘Gambe’