Archive for July 22nd, 2009

  • Here Again Mo Rocka from The Rockaz

    Here Again Mo Rocka from The Rockaz

    Ametamba na ngoma ‘Kisa Mi Nashine’ na sasa wameachia ngoma ya crew inayokwenda kwa jina la ‘Rocka Anthem’..Ni Mo Rocka,Mo style,Mo rymes..Na yeye pia leo ni birthday yake..Vilevilee yupo kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Sexiest Man In Dar.Ingia kwenye sehemu ya msg,andika neno SM Moraka kwenda...

    Full Story

  • Happy Bday B 12!

    Happy Bday B 12!

    From left Fetty,Sophia,Dinna,Reuben,Birthday Boy,Arnold na Adam Mchomvu.

    Full Story

  • Imekaaje hii mdau?

    Imekaaje hii mdau?

    Angaliabongo inagusa kila kona,leo kidogo nizungumzie hili linalowahusu wanawake…Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanawake wenye miguu minene ndio wanapendeza zaidi kuvaa nguo fupi?Vipi kwa wale ambao wana skinny legs?Comment.

    Full Story

  • The Ngoma Africa Band wanaendeleza kazi.

    The Ngoma Africa Band wanaendeleza kazi.

    The Ngoma Africa Band aka FFU! Kukiwasha cha moto kingine ndani ya AFRILU Festival, Ludwigshafen City,Germany. Kamanda Ras Makunja atakiongoza kikosi cha The Ngoma Africa Band aka FFU katika jukwaa lingine la onyesho la AFRILU .Onyesho hilo litakalo fanyika siku ya ijumaa 24.07.2009 jioni katika...

    Full Story