Sehemu ya Kuwepo!

21 Jul
Pichani mshiriki Hemed,Mtoto wangu Loveness ambaye ndiye anayeendesha shindano hilo pamoja na Abba ambaye pia ni mshiriki.
Shindano la kumtafuta sexiest man in Dar linafikia mwisho siku ya alhamis ambapo mshindi atatangazwa kupitia kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa hewani na mtoto wangu wa Pekee Loveness Love.
Washiriki wa shindano hilo ambao ni Luca wa Bongo 5,Benny wa Photo Point,Abba,Mwinyi,Moraka,Hemed ndio waliofikia fainali na kati ya hao mmoja wapo ndiye atakayetoka mshindi.
Shukrani za pekee ziwafikie Steps entertainment,new ck hair design,makoba,biigie respect,home shopping centre,isham,midcom,air Tanzania and Clouds Fm radio kwakuwa ndio wadhamini wa Shindano hilo…
2 Responses for "Sexiest Man In dar final ni Alhamis"
mbona uyo kaka aliye vaaa nyeusi kabis yuko kama ana nundu kwenye forehead yake ama??
kila la heri lakin haki itendeke ktk hilo
Leave a reply