Archive for July 15th, 2009

  • Chid Aachia ngoma mpya ‘Pompompo’

    Chid Aachia ngoma mpya ‘Pompompo’

    Msanii wa Bongo fleva nchini,Chid Benz aachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Pompompo’ iliyobeba ujumbe mzito juu ya wale wote wanaomsema vibaya na kazi hiyo ameifanyia kwa the young producer in Town,Lamar.‘Watu wananisema vibaya mwisho wa siku Tanzania Inanitunuku tuzo mimi” hayo ni baadhi...

    Full Story

  • Yupo bize…

    Yupo bize…

    50 Cents akiwa bize,nahisi hii mistari itakuwa ya albam yake mpya anayoiandaa!

    Full Story