By Sarp –
July 14, 2009Posted in: Angalia Bongo
Aloy Siza anasema kuwa sura hizi zinafnana,huo ni kwa mujibu wake,je wewe ndugu mau ni kweli sura hizi zinafanana?

Toa maoni yako kuhusu sura hizi mbili,Je ni kweli zinafanana?

Related posts:
- Mambo wote!!!!!!!
- Watuhumiwa wengine hawa hapa
- Wako wapi hawa?
- Unawakumbuka hawa na ‘The Boy is Mine?
- Maisha halisi ya mwalimu akiwa shule…
About the Author
hamfanani bana lakini mna visura vizuri
you so d like er sis…kwanza wote wytz n pluz u got the same similiar smile..plu the lip are kaynd look the same…lakini i like both of yoz picz
yesss mnafanana vitu vikuu vitatu kwanza midomo mitamu ya kunyonya, pili sura nzuri za kitoto na za kuvutia na tatu round face i relly love you girls.
kwa kweli mm sioni kufanana wala nn sema wote vichuna wa nguvu
yeah them lips look alike!
wmefanana pua
AAh nani kasema hayo!!!Mi sioni mfanano bwana…Mmoja sura yake imekaa kiugumu sana na mwengine kakaa sura ya mtoto wa mama.Wajuu inaonekana mdomo full wd na wa chini m2 wa maji ya ilala!!Huo ni mtazamo wangu!!