
Baada ya kunyoa rasta zake alizodumu nazo kwa takribani miaka kumi,Q-Chillah anatarajia kuchora tattoo kichwa kizima.
Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘Mchiriku’ alisema kuwa anataka kuwa na style ya kivyake hivyo hajali yale watakayosema watu kuhusu maamuzi yake hayo ya kuchora tatuu kichwani.
Related posts:
