Pichani marehemu Nasma Hamis akiwa na Hadija Kopa enzi za uhai wake.
Gwiji wa taarabu nchini,Nasma Hamis azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu.Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu,amesema kuwa mama yake aliugua kwa siku tatu tu na mauti kumfikia juzi saa sita usiku.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala Pema peponi.
Related posts:
